single mama

"Mama Africa" is the fourth single from Akon's second studio album, Konvicted. This song was originally on reggae singer Peter Tosh's 1983 album "Mama Africa." Later the song was remade by Hakim Abdulsamad, frontman of R&B 1980s band The Boys. The single was released to radio stations on May 15, 2007, before being officially released in the United Kingdom on July 30, 2007. The official remix of the track features 50 Cent. The lyrics are written as a homage to Akon's ancestral homeland, Africa. The song peaked at #47 on the UK Singles Chart, his second to do so, the first being "Pot of Gold". The track was B-listed upon its first airplay on BBC Radio 1. The single's artwork was designed by Chris Jarvis. A video for the song was filmed in October 2006, however, due to licensing issues, was not released. The video was later leaked to the internet in February 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Majukumu yanavyofanya watu kujiweka kando na single mama

    Key point ni MAJUKUMU mengine ni minor issues kwa nini wadau wanajiweka mbali na single mother. Kitabu Cha Wasifu wa Malcolm X kinaelezea baada ya baba yake kufariki mama yake alikuwa na mahusiano na mwanaume mweusi kutokea Lansing lakini mahusiano hayakudumu mwamba akasepa sababu kuu ni...
  2. Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  3. Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

    Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake. Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto. Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa...
  4. T

    Kuwa single mama sio ticket ya kukata tamaa

    Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki...
  5. Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

  6. Single mama kaniganda nashindwa kumuambia ukweli

    Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume angu yaani kila kitu hata kuuliza kitu tu eti anasema mume wangu nikuambie kitu. Ajabu ni hii...
  7. Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

    Wajita Wachaga Wamakonde Waluguru Wanyaturu Warangi Wazaramo Wagogo Wangoni
  8. Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
  9. Kati ya single mama na Asiekuwa na mtoto Nani anafaa

    Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na...
  10. Mrejesho kuhusu mtu aliyenipenda halafu kanizidi umri

    Jana niliweka uzi wa kuomba ushauri hapa kuhusu mtu alienipenda halafu kanizidi umri, ndugu jamaa na marafiki wakasema yao humu kuna walioniita mjinga, walionitukana na wakanisema vibaya ndgu zangu kwanza naomba mtambue. 1. Mimi sijampenda huyo binti ila yeye ndo alinitafuta na kutaka mahusiano...
  11. Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  12. Single mama alivyotaka kukatisha uhai wake kwasababu yangu

    off
  13. Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

    1. Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanaye yaani mwanaye akupende. 2. Usipende kutoka nae viwanja hawapendi maana huwa wanawawaza watoto wao especially kama ana mtoto mdogo. 3. Vi-date vyenu fanyieni "indoor" yaani aje kwako au uende kwake. 4. Hakikisha zawadi kwa sana, za mwanae na zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…