singo

Singo is a village in the far north of Ivory Coast. It is in the sub-prefecture of Blességué, Kouto Department, Bagoué Region, Savanes District.
Singo was a commune until March 2012, when it became one of 1126 communes nationwide that were abolished.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  2. Kuoa single mother ni mtihani

    Iki ivi kiukweli mm ninafsi siwezi oa singles mother nina sababu kama kumi hivii na zina mashiko 1. Huna uhuru na mtoto ukimpiga unamwonea 2. Mkigombana kidogo simu kwa x wake 3. Kuchapiwa lazim uchapiwe wengine wameechan kwa ugumu wa maìsha akipata unafuu anatoa tunda 4. Kuchanganya familia...
  3. House4Rent Chumba singo Kinapangishwa - Mbezi Beach

    KINAPANHISHWA CHUMBA SINGO LOCATION : MBEZIBEACH SHULE BEI : 60,000 SIMU : 0679268006 UMBALI WA KUTEMBEA, NDANI YA FENSI WAPANGAJI 3 TU.
  4. Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  5. Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  6. Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
  7. Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

    Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu. Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu. Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu...
  8. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  9. Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

    HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje Jamaa kaamua kwenda polisi...
  10. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  11. Kuwa makini na mwanamke anayejiona yupo singo kwenye mahusiano

    Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake. Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume. Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa. Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu. Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi...
  12. M

    Je, nani anapokea mahari kwa binti aliyelelewa na mama pekee?

    Huyu binti kalelewa na mama yake pekee yake. Baba yake yupo hajafa ila binti hajawahi kukutana ana kwa ana na baba yake wala katika upande wa baba yake hamjui ndugu yeyote. Je, kwa scenario kama hiyo binti anafaa kutolewa mahari na kuolewa? Na taratibu za mahari zipoje? Kwani navyojua mahari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…