Video hii imerekodiwa katika eneo la Sinza Afrikasana Jijini Dar es salaam ikionesha usumbufu wanaoupata wapita njia pamoja na magari na kuathiri shughuli za kila siku baada ya maji kujaa katika eneo hilo kutokana na mvua iliyonyesha leo.
Wakazi wa eneo hilo wanasema hali hii imekuwa ikijirudia...