Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kuchomwa na kisu.
Mwenyekiti wa Sinza, Ally Mgaya...