Huwa mara nyingi nacheka sana mtu akinitishia kuwa siku nikifa ndiyo mwisho wa kiburi changu cha uzima. Jibu langu ni moja tu, hakuna kifo kibaya kama ujinga maana umeshakufa na umebaki mwili unazunguka tu duniani. Mtu asiye na maarifa hana tofauti na mzoga.
Wajinga ndiyo huwa wanakufa maana...