.
Angalisho.
Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi.
Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali tata yanayotutatiza hasa Waafrika.
Ndipo Nilionyeshwa siri ambayo sikuwa naijua au kusikia popote...