𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔
Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura mpya.
Kutoka nyumbani salama na Familia inakusubiri urejee na chochote kitu, mpaka sasa Familia...
Kuwalaumu wengine kwa ugumu na changamoto tunazopitia katika maisha yetu mara nyingi ni njia rahisi ambayo wengi huichagua. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba kila mtu tunayekutana naye ktk safari yetu ya maisha ana jukumu katika kutuunda na kuchangia uzoefu wetu.
Watu wazuri katika maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.