Kila mtu anataman kua katika hali nzuri na kukua kwa uchumi. Ila kuna mambo ambayo yanaitajika ili ufikie kwenye mafanikio hayo
Kitu cha kuanza nacho, haujishungulishi na kitu utakuaje tajiri kwa kukesha netflix, fanya chochote ata cha kuku ingizia mia miambili, ata Mungu ana bariki pale kweny...