Kabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5....
1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu.
Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure (Zab 127:1). Jikabidhi kwa Mungu awe mwamuzi wako - Yeye huona kile ambacho moyo...