Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavosema,
Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa...