Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi.
RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
Nawaambia vijana. katika kitu ambacho hutakiwi kabisa kukiwaza kwasasa nikuishi na mwanamke kabla yandoa
Hii mitindo yamaisha imekua changamoto sana hasa kwanyakati hizi.
Tafuta hela tafuta mwanamke mzuri kias mchunguze kidogo muoe. Haya mambo sijui unazalisha kwanza mara sijui sogea tuishi...
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha.
"Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu...
Habari zenu ndugu watanzania!!!!
Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF.
Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
WATU FEKI- Appy
Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharura
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndio mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli mafanikio
Watu feki watu feki
Sitaki marafiki siwataki ng'o
Sitaki wanafiki sitaki watu feki
Wambie...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke.
Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??
Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya.
Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
"Tumetolewa kwa Kuonewa kwakuwa Mmiliki wa Timu ndiyo Boss Mkuu wa Kafu Afrika hivyo Waamuzi walimuogopa ili kulinda Vibarua vyao" amesema Boss Klabuni Mrembuaji Makengeza.
Na muda si mrefu nimetoka Kumsikia EFM Radio (Kipindi cha E-Sport) Boss Mrembuaji Makengeza akisema na akikanusha kuwa...
Hivi huko Tanganyika huwa mnasoma somo la nidhamu mashuleni?
Umekutana na mtu, wala hamfahamiani kihivyo, hujui anapenda nini, hujui anavutiwa na nini, unakurupuka tu?
Nani aliwaambia kila mtu ni shabiki au mfuasi wa mpira?
Umekutana na mtu, wala havutiwi hata na mipira, unaanza kuleta...
Huwa napenda kuandika humu kama diary yangu maana
Basi nilliwahi andika nikiwa na umri wa miaka 22 nilikuwa nishashika hela nyingi kama million 100 na zaidi kutoka biashara nilikuwa nafanya kkoo ila hizi hela zilikuja kuuvunja moyo wangu mno sitak tena
Kwa muda wa miaka sita...
Mwaka jana nli kutana na dada mmoja ambaye mtu wangu wa muda kidogo. Actually mimi ni mtu ambaye nazingatia sana masuala ya usafi kwa mpenzi.
Shida ya kwanza ikawa mdada amekuja Hotel ananuka jasho. Hili suala likawa limeanza kunipa changamoto. Pia ana bad breath. So obvious siwez mkiss...
Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari,
Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam...
Watoto wa shule wenye umri wa miaka13-17wanapakiwa kwenye gari na kupelekwa shamba kwa nakubaliana ya malipo ya7000 kutwa baada ya kazi ya kupanda.Je hii ni dawa?
Usiamini kila unachoambiwa, akili mkichwa. Mtu anakwambia mie sio mlaji sana kumbe hana bajeti unajichanganya unaenda nae Mlimani City unamwambia agiza usiogope, bili ikija kama umekula ng'ombe mzima vile.
Afu mwenzio anauliza juice vipi hatushushii?
https://www.youtube.com/watch?v=awXxaq61Z74
Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru.
Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana;
1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa?
Na kama ni kweli ili tumuabudui...
https://youtu.be/JG0FZOO9OdE?si=Xt3nJH9GWXxKPUmM
https://youtu.be/rJWdfDPZ9Ck?si=HhcCRZ6t-0udTwrU
Marafiki ni watu wanafiki wengi wao wanakuja muda wa raha tu.
Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha.
Kufika kule nakuda wadada 2, black beauty 1 akaja mwingine akafungua mlango akasepa, aliyebaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.