"Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa labda tuzae tu.
Kungwi Sexless nimekuja kwako naomba unisaidie kuchakata kauli hii toka kwa...