👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi mnakumbuka? Au ulikuwa ukikipenda?
Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1980, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile. Lakini bila shaka ilikuwa ni wakati ule wa ufahamu mdogo. Hivi sasa ninafahamu mengi na hasa baada ya kujifunza maarifa...
Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha ardhi.
Tuja kaa vizuri redio na tv zinaanza kutangazia umma kuwa kuna shambulio limetokea ubalozini mwa...
Hello guys,
Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili.
Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure.
Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu...
Lucas Mhomba ambaye amekatwa miguu na viganga vyote viwili (kushoto) na kulia ni awali akiwa na viungo vyote.
Oktoba 14, 2023 haitasahaulika katika maisha ya Lucas Mhomba, mkazi wa Dumila wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro.
Alivamiwa na watu wasiojulikana akajikuta akipoteza miguu yote miwili...
Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s.
Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida.
Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliza chuo nikiwa na 24...
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
Habari wanajamii,
Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika.
Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea whiteSands...
Ni jioni Moja nipo iliotulia nipo viunga vya home salasala dar, mwaka 2004.
Hio siku ndio nilishuhudia Kuna watu makatiri Duniani, kuna mnaokumbuka ule wimbo wa salasala Godzilla Yale matukio yalioimbwa mengi ni kweli kabisa.
Sasa palikua na kikundi Fulani walijiita chafosa wao ilikua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.