Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.
Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za...
Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa...
Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
Niwaombe tu Waafrika wenzangu (hasa Watanzania) kuwa tuacheni Unafiki wetu wa Kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Wazungu dhidi yetu Waafrika wakati Ukweli ni kwamba Sisi Waafrika (tena wenyewe kwa wenyewe) tunabaguana kwa Kiwango kikubwa kuliko hata huo Ubaguzi wa Wazungu Kwetu.
1. Hivi katika ngazi...
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
Wadau, hawa Utumishi wa Umma siwaelewi, unakuta Siku wanatangaza placements za watu kuingia kazini huku wakisema kuwa haya majina yanatokana na watu waliofanya usaili hv karibuni na wa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.