Wadau hamjamboni nyote?
Someni wenyewe hapo chini:
''Ndugu zetu wa damu wanajua wao kila jini ni shetani, kumbe kuna majini wengine waumini na wacha Mungu. na anasema mwenyezi Mungu (Sikuwaumba majini na wanadamu isipokuwa wapate kuniabudia mimi) kwahiyo siyo kila jini ni shetani ijapokuwa...