Jinsi ya Kutunza Ngozi yako (Ushauri wa Bure)
Unajua ilivyo kazi kubaki na mwonekano mzuri wa ngozi throughout. Mara chunusi, mara ngozi kavu kama ya mamba, mara ngozi haina nuru yaani ile rangi yako halisi haionekani.
Ni hivi, utunzaji wa ngozi unahitajika ili ubaki au uboreshe mwonekano...