Hakuna upinzani Fredrick Bundala(SKYWALKER) uwezo wako wakufanya kipindi cha mahojiano kivutie ni next level bila ya kujali unamhoji Star au Normal person.
Kuna mtangazaji kupitia channel yake alikuwa akimhoji Bizzman matarajio yangu ni kuwa interview itakuwa kali ila kimsingi yule host...