slave trade

  1. Mr Why

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  2. Financial Analyst

    Utumwa huwa tunajiona watu weusi wahanga ila tunasahau kuwa mababu zetu walicheza part kubwa kurahisisha kupatikana watu kwa ajili ya slave trade

    Jamii za Kiafrika zilikuwa na mifumo iliyokuwepo ya utumwa, lakini mahitaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Ulaya na Uarabuni yalibadilisha kwa kiasi kikubwa ukubwa na asili ya biashara hii. Mawakala wa ndani wa Kiafrika mara nyingi walikamata watu kupitia vita, uvamizi, Kisha mateka hawa...
Back
Top Bottom