Waungwana nawasalimu,
Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema.
Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60" plus. But the question is je ninunue tena Smart Tv au sasa ninunue Android TV.
Je ipi ni bora katika...
KUPITIA SISI KUMILIKI TV NI KITU RAHISI JIPATIE TV KWA BEI YA KIWANDANI KUTOKACHINA KAMA IFUATAVYO
SPECIAL BIG ODA TV SMART
BRAND:SAMSUNG / LG
💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000
💫65@540000
💫75@740000
💫85@1040000
💫100@4000000
Smart TV zote
0713861567
Bei zote bila usafiri
TV...
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali.
Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
Roku TV, Android TV, Smart TV, AI TV, Google TV, Mini LED TV, QLED TV, na kadhalika ni baadhi ya maneno ya masoko yanayotumiwa na wazalishaji wa TV hivi sasa. Kusema ukweli, ni ngumu kutofautisha kati yao ikiwa wewe si mtaalamu katika kuhusu televisheni.
Android TV na Smart TV ni sawa sana hadi...
Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv.
NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku...
Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu.
Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja nayo huku wilayani nikitegemea nitaweza kutumia intanet ya TTCL kupitia simu za waya kama vile...
AINA YA TV: StarTimes
MODEL: Smart TV
UPANA: inch 55''
Resolution (Ubora wa picha): 4K
Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS)
Mahali: Kimara, Dar es salaam
Kama unaihitaji TV hii tuwasiliane: 0755038159
NB: Haina tatizo lolote
Mwenye kujua password za goodvision 32" anasaidie aisee.
TV yangu ghafla toka majuzi nikiiwasha inareta message hii yani zimebaki dk 4 ijizime automatic yenyewe, nilifikiri kuifanyia system recovery lakini nilipofika hapo inadai password ambazo sijawahi kuweka na sizijui.
Msaada kwa wajuzi wa...
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.
Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.
Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.
Karibuni kwa ushauri.
Habari za weekend wataalamu
Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.