Hii ni kwa wadau wa pombe za bei chee, nyie wa K Vant, Konyagi, Black and White, Tequila, Sambuca, Johnny Walker ya Pascal Mayalla mtuache kidogo, Watanzania halisi tuna jambo letu.
Double Kick ilipoingia sokoni kuchukua nafasi ya viroba chapa jogoo na viroba vya Konyagi, ilipata wateja wengi...