SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti...
Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
Tunafurahi kukualika uwe sehemu ya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuaji wa SmartBusiness program ya usimamizi wa biashara ndogo na za kati (SMEs) kote Afrika.
Katika webinar hii, utapata kusikia moja kwa moja kutoka kwa mwanzilishi na timu ya SmartBusiness kuhusu safari ya SmartBusiness, mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.