snoop dogg

  1. mdukuzi

    Snoop Dogg sio muhuni kama tunavyomchukulia

    Ukiacha suaka la kuvuta bangi hakuna evidence yoyote kuwa snoop ni muhuni. Amedumu kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 30 na girl friend wake wa tangu college. Yoke very close na baba yake mzazi japo hapo awali alimtellekeza,yaani yupo close na baba yake kuliko mama yake Yupo close na familia...
  2. I am Groot

    Snoop Dogg anaijua biashara kwelikweli; hajaacha bangi; awafanya walimwengu mapoyoyo!

    Snoop Dogg ameweka wazi kuwa hajaacha kuvuta bangi; bado anaendelea kuvuta kwani ndio kitu anachokipenda sana na kuamua kuweka mambo sawa kuwa yale yote ilikuwa ni tangazo (ad) la majiko yasiyo na moshi[emoji38][emoji38][emoji23]; smokeless stove.
  3. BARD AI

    Snoop Dogg anapanga kuacha kuvuta sigara?

    Rapa na Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop, Snoop Dogg ametangaza kuacha Uvujati Sigara baada ya kukaa na kushauriana na Familia yake. --- Rapper na nyota wa hip hop Snoop Dogg ametangaza kuacha kutumia bangi. Mwanamuziki huyo, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus, alifanya tangazo...
  4. 2 of Amerikaz most wanted

    Snoop Dogg alikuwa na wivu dhidi ya Tupac

    Baada ya siku chache kupita ambapo mwana hip hop snoop dogg, kusema kwamba hakuwai kuupenda wimbo wa Tupac "hit em up" (diss track). Snoop dogg was said: I didn't like this shit like it wasn't like the shit to me like it was buying. You buying more problems girl. Like you buying problems...
  5. MK254

    Rapper Snoop Dogg Leaves Gangster Lifestyle For Christ

    Snoop Dogg, ambaye jina lake halisi ni Calvin Broadus Jr., alisababisha mshtuko mkubwa Hollywood baada ya kutangaza kuwa amekuwa Mkristo mpya aliyezaliwa upya. Hivi karibuni alitoa albamu yake ya kwanza ya injili inayoitwa "Biblia ya Upendo". Albamu hiyo ina wasanii wengine wa injili...
  6. MSAGA SUMU

    Snoop Dogg kuwa Bosi mpya wa Twitter?

    Elon Musk kasema kuanzia Sasa maamuzi makubwa ya Twitter yataamuliwa na wanatwita wenyewe. Ambapo wamuomba kuachia ngazi na katika hali ya kushangaza mpaka Sasa mida hii watu milioni 8 wamemtaka rapa Snoop kuingoza kampuni hiyo kubwa. Bila shaka boss Mello analiona hili suala.
  7. Sky Eclat

    Snoop Dogg may be one of the most famous rap artists of his time, but did you know his biggest role is husband and father to four kids? Meet the famil

    Snoop, born Calvin Broadus Jr., has been with his wife Shante Taylor for over 24 years. They were high school sweethearts and got married on June 12, 1997. Their marriage produced three children, today ranging in age from 22 to 27. Snoop also has a child from a previous relationship. No...
  8. Yohana Isack

    Utambulisho

    Nawasalimu kwa Jina la Muumba mbingu na Nchi na atupae uzima ulimwenguni. Kwa Majina naitwa YOHANA MATIKO ISACK, Niko Chuo kikuu Ardhi, Dar Es Salaam, nafuraha sana kujumuika nanyi ndani ya JF,, MUNGU AWABARIKI NYOTEE 🙏🙏
  9. I_manyota

    Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

    Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀 Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu...
Back
Top Bottom