Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024.
Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo" Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali...
Zimesalia Siku 5 tuu kuelekea Septemba 21, 2024, Usiku Maalum wa Hafla ya Utoaji wa Tuzo kwa Washindi wa awamu ya 4 wa Shindano la Stories Of Change
Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta za mbalimbali Nchini kwa...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo inapiga hatua katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama elimu, afya, madini, maji, utalii, kilimo, uvuvi nk.
Katika sekta zote hizo, sekta ya elimu imekuwa sekta mama kwasababu ndio imekuwa ikizalisha wataalamu wanaohudumu katika sekta zingine.
Mfumo wetu wa...
Katika kutafuta Tanzania yenye maendeleo endelevu na ustawi wa jamii, sekta ya elimu imebeba jukumu kubwa na la msingi. Elimu ni ufunguo wa maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yoyote ile.
Katika miaka mitano(5), kumi(10), kumi na tano(15) hadi ishirini na tano(25) iajayo, ni muhimu kuwa...
Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia ya vita vya kwanza ya dunia.
Hii ndiyo hupelekea watoto kuishia kusoma vitu ambavyo havipo kwenye...
Ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kielimu, kiteknolojia pamoja na kiutamduni hatuna budi kuhakikisha baadhi ya mabadiliko katika mfumo mzima wa ajira kuanzia ngazi ya chini, mpaka ngazi juu yanafanyika, ili kufanya malengo ya taifa ya maendeleo ya muda mfupi, kati na muda...
Kuwa na Tanzania bora kwa miaka ishirini na tano zijazo inahitaji juhudi na mchango wa jamii nzima, ikiwa ni pamoja na serikali, sekta binafsi, mashirika ya kijamii, na wananchi wenyewe. Hapa kuna mapendekezo kadhaa ya mambo ambayo serikali na jamii wanaweza kufanya kuboresha Tanzania:
1. Elimu...
Ili kuendana na teknolojia ya dunia na kukimbia kwa kasi tunapaswa kuwa na teknolojia ambayo itaketa vitu vingi Kwa pamoja na kurahisisha huduma katika sehemu moja
Moja ya huduma hizi ni pamoja najua na namba moja ya simu ambayo itatumia mitandao yote, mtu atakuwa na namba moja ya simu...
1.Tausi -Portal Tausi -core
2. RITA
3. EGA
4. BIMA
5. KULAZA WAGONJWA HOSPITALI -Private - Goverment
6. UHAMIHAJI -Passport Visa
7. NIDA
8. MIFUMO YA KUHAMISHA WATUMISHI
9. MIFUMO YA MAHAKAMA
10. MAOMBI YA MIKOPO HESLB
Maana ya mfumo
Mfumo ni utaratibu wa ukusanyaji na uchakataji wa taarifa ili...
Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto kubwa zaidi ambayo inahitqji kuangaliwa kwa umakini mkubwa katika miaka ijayo kuanzia miaka 5 hadi...
Nafahamu ipo Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikishughulikia masuala mbalimbali yahusuyo jamii, jinsia za vijana wakike na wakiume, changamoto za wanawake na wanaume, wazee pamoja na makundi maalum. Liakini bado haitoshi wizara hii kubeba mambo yote hayo.
Taifa...
Kujenga Tanzania ya kesho kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na mifumo imara ya utawala.
Kwanza, viongozi lazima wawe na maadili ya juu na wawajibike kikamilifu kwa wananchi, wakiepuka rushwa na kujiepusha na ubinafsi.
Pili, sera za maendeleo zinapaswa kuwa na lengo la...
Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System).
Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?
Utangulizi
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
Overview
Since gaining independence Tanzania has been gradually making advancement in various sectors. Tracing back to 1980s when industrial output and capacity utilization declined. The economy was dominated by simple activities mainly for day to day life support. Competitive responses to...
Utangulizi
Tanzania kama nchi nyingine yingi zinazo endelea inakabiliwa na ukopaji wa fedha kutoka Kwa wafadhili mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kufadhili bajeti ya Taifa. Utatuzi wa changamoto hii unahitaji maoni si ya wataalamu na viongozi wa kisiasa pekee, bali kuwapa nafasi wananchi...
Utangulizi
Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
TANZANIA TUITAKAYO
1.0 UTANGULIZI
Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na marekebisho mbalimbali ya katiba yamekwisha fanyika ili kuleta uongozi bora na kuimarisha demokraia nchini. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.