Ajira kwa aliyesoma
Sociology nafasi 1,
Psychology nafasi 1,
Social Work nafasi 1,
na Special Needs education nafasi 1
Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam.
sifa
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Elimu yoyote, cheti, diploma au degree.
Jinsi ya kuomba:
Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba...
Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.
Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi
Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.