softwares

  1. Brightburn

    Pata michoro ya wazo lako (mobile apps, websites, softwares, etc)

    Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo mazuri ya faida, kama unahitaji mtu wa kukuchorea idea yako uone itakavyokuwa ikiwa utaiunda nipo...
  2. R

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  3. Vandma Pro

    Pata pc softwares, games na setup zake

    Anaehitaji softwares setup za Pc pamoja na games aje tuyajenge. Adobe Photoshop, illustrator, after effects, premiere pro, InDesign n.k Adobe master collection, 2021, .... 2024,2025 Microsoft office 2016 mpaka 2024. Fifa,pes,Eurotruck simulator,GTA grand theft. Na program nyinginezo...
Back
Top Bottom