sogea tukae

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nipo online

    Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

    Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake hajawai fika. Yani hata barua kiufupi hajafata taratibu zozote za kiafrika hii imekaaje? Sijapenda...
Back
Top Bottom