Nimeona kipande cha video kikimuonesha Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika katika zoezi la upandaji miti akimtambulisha Waziri wa Mazingira Bibi Soipan Tuya kuwa alikuwa girlfriend wake.
Binafsi kauli ya Rais Ruto imenishangaza sana ukizingatia kwenye tukio hili alikuwa kaambatana na mkewe...