soka duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshambuliaji wa Wolfburg afungiwa kisa kugoma kusaini jezi yenye rangi za upinde

    Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua. Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
  2. Maono yangu kuhusu mpira mwaka huu World Wide

    Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
  3. Real Madrid ilipomaliza mechi bila kuwa na shot on target hata moja

    Kuna wakati unasikiliza baadhi ya watu huku mitandaoni unabaki kujiuliza hawa watu wanaujua kweli mpira au naongea na bots (kwa wasiojua bots ni mifumo ya kicomputer inayoact kama binadamu mitandaoni ikiwemo kupost comments). Mambo mengi ambayo tunashadadia ni ya kawaida sana kwenye ulimwengu...
  4. Mtaje Golikipa wako pendwa zaidi katika soka

    Wakuu, Katika maisha yako ya soka ni golikipa au makipa gani uliotokea kuwakubali zaidi katika soka la bongo,au Duniani kwa ujumla?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…