soka kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

    Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…