Soka ni mchezo unaopendwa zaidi ulimwenguni, lakini je, kweli Afrika ina nafasi sawa katika uwanja huu wa kimataifa? Ukweli mchungu ni kwamba mpira wa miguu umetumiwa kama silaha ya kudhibiti bara la Afrika—kutufanya tuhisi duni, kutudanganya kwamba hatustahili, na kutufanya tuendelee kuwa...
Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao.
Miaka ya hivi karibuni Simba na Yanga zimejitahidi kufanyafanya usajili na kujifunza mikakati michache ya ndani na nje ya uwanja...
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.
Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.
Orodha hiyo Klabu kutoka...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars).
TFF imefafanua kuwa Ame ni miongoni mwa wachezaji 23 walioorodheshwa rasmi kwa mechi dhidi ya Guinea, na alikaguliwa...
Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.
Jordaan, ambaye alichukua jukumu kubwa katika kuandaa Kombe la Dunia la 2010 nchini Afrika Kusini...
Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa.
Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la kuboresha timu linazidi kuwa gumu.
Si muda mrefu watatimua kocha wao. Naona kabisa huko World Cup...
MMESIKIA HUKO?
.
Kwa mujibu wa Africa Soccer Zone,Klabu ya Yanga inashika nafasi ya pili nyuma ya Al Ahly kuwa ndio Klabu zinazofanya vizuri kwa sasa barani Afrika.
Orodha ni kama ifuatavyo
1-Al Ahly
2-Yanga
3-Petro De Luanda
4-Orlando Pirates
5-Mamelodi Sundown
6-Rs Berkane
7-Al Hilal
8-As...
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.
Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na...
Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi pamoja.
Ngoja tuone utavuna nini ndani ya msimu huu!
===============
Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc...
Ila waarabu. Nimewavulia kofia. Nigeria wameona cha mtema kuni humo Libya baada ya kukarishwa airport kwa masaa 16 bila huduma yoyote. Wakiwa wamefungiwa. Hakuna hata WIFI.
Hii ni zile harakati za kila mara za Waarabu. Siku zote ukienda cheza na Waarabu ujue huwa ni wakatili sana katika games...
Siku hizi ni rahisi kuona timu ngeni zikija na mapipa yake kwaajili ya kuweka maji yenye barafu (maji baridi sana) kwaajili ya wachezaji. Faida hizi ya maji baridi sana sio TU kwa wwchezaji lakini ni kwa watu wote wanaooga maji baridi sana.
Ili mwili ufanyekazi zake vizuri unahitaji nguvu...
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.
Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.
Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.