Nawapongeza Simba wana project nzuri, wameamini damu na wanacheza vyema
Coach Fadlu amekuwa coach Bora kabisa, amefanya rotation ya kikosi na kila mchezaji amempa nafasi
Mashabiki waache kuipa timu pressure ya ubingwa, naona level za kuwa bingwa Bado kidogo
Marekebisho
1. Shabalala akae...
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created.
Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana.
huyu Mpanzu winger wa nini simba?? na chances ndo shida yetu.
wanasimba ebu tuongee mpira, shida ya hiki...
Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa...
Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono.
Soma Pia:
Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe
Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi".
Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
Namkumbuka huyu Mzee wa Simba jinsi alivyokuwa na hasira na Yanga hadi muda wote yeye yupo mitandaoni kuikashifu Yanga.
Ni kama Feisal Salum jinsi alivyo na hasira na Yanga. Muda wote anawaza kuikomoa lakini yanageuka na kujikomoa mwenyewe. Yani Mchezaji unakuwa na tabia za kusutanana...
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika
Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba.
Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi...
Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda.
Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na Ngoma Tu, Halafu Kazi Imeisha
Kama umeangalia mpira sina cha kuongeza, nawakilisha kama ilivyo hapo juu.
Soma Pia: Usajili wa Freddy Micheal Koublan, Simba SC tumepigwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.