Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam.
Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa mnyonge.
Katika Ligi Kuu ya...