Wakuu,
Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule?
======
Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia...
Hii ni Habari njema kwa Wafanyabiashara wanaosubiri vizimba na Flemu Sokoni Kariakoo.
Msimamizi wa Ukarabati Mh Kaijage amesema kuna ongezeko kubwa la vizimba na Flemu baada ya ukarabati mkubwa unaofanyika.
Alikuwa akimweleza Mwenyekiti wa Bodi Hawa Ghasia.
Source: ITV Habari
=====
Update...