Hii ni Habari njema kwa Wafanyabiashara wanaosubiri vizimba na Flemu Sokoni Kariakoo.
Msimamizi wa Ukarabati Mh Kaijage amesema kuna ongezeko kubwa la vizimba na Flemu baada ya ukarabati mkubwa unaofanyika.
Alikuwa akimweleza Mwenyekiti wa Bodi Hawa Ghasia.
Source: ITV Habari
=====
Update...