Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao, kama walivyohakikishiwa na serikali.
Mtanda ameyasema hayo alipokutana na wafanyabiashara hao...