Biashara ya Kenya ndani ya bara la Afrika imeendelea kuimarika, huku ikiongezeka kwa asilimia 26 katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita. Ripoti ya Benki Kuu ya nchi hiyo iliyotolewa Jumatatu Novemna, 2024 inaonesha kuwa ukuaji huu umetokana...