Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri sokoni humo.
Soko hilo ambalo linahifadhi meza takriban 2,000 za Wafanyabiashara, limegeuka kuwa...