soko la mbaazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  2. Walivuruga soko la mbaazi ikauzwa Tsh. 300 kwa kilo

    Hatuwezi kufika mwisho wa safari yetu kama tutasimama kila mahali kuwarushia mawe kila mbwa anayetubwekea. Rais nimezisikia kelele zao, nimezisikia sauti zao pale kithalani wale waliolalamika bei ya mazao ipo chini Mkulima atafutiwe soko ndiyo hawa wanaopiga kelele bei ya mazao ipo juu. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…