Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine
soko lake likoje,,? Hayaozei shambani kweli
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.
Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.