Habari waungwana,
Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.
Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.