soko la ubuyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. INAUZWA Ubuyu wa Kishua πŸ˜‹

    Ney ubuyu wa Kishua πŸ˜‹ Ubuyu Mtamu wenye ladha nzuri ambao hachubui Mdomo unapatikana kwangu Ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 na Ndoo kubwa 60,000 Kwa Jumla na Rejareja unapata Delivery Kwa Dar ipo na Mkoani tunatuma Karibuni πŸ“ž 0752228138
  2. B

    Msaada soko la ubuyu

    Habari, mimi nimeamua kujitafuta kwa kutengeneza ubuyu, natafuta duka au soko ili niwe nauza kwa jumla. Nipo Morogoro Mazimbu.
  3. D

    Soko la ubuyu likoje na wapi naweza kupata wateja?

    Naomba kuuliza je soko la ubuyu likoje na wapi naweza kupata wateja wa uhakika wa mafuta ya ubuyu pamoja na unga wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…