soko magu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    DOKEZO Soko la Kayenze (Magu) limekithiri kwa uchafu, ukihoji wanakwambia “hama soko”, hali iliyopo ni ya hatari

    Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri sokoni humo. Soko hilo ambalo linahifadhi meza takriban 2,000 za Wafanyabiashara, limegeuka kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…