soko marangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Soko la Marangu Mtoni ni chafu sana, mamlaka zishughulikie changamoto hii

    Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi. Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye taka nyingi kiasi hichi zenye zaidi ya miezi kadhaa bila kutolewa na ikizingatiwa ni mji wa kitalii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…