Wadau ni balaa sasa,
Taa zinazofungwa kwa sasa kuanzia Barabara ya Gerezani, Sokoine Drive na Kilwa Road sio za kawaida.
Ni nyingi kupita maelezo, nauliza tu aliyefanya Tathmini ya kuweka hizi taa amelenga nini?
Kwa mfano ukitokea Gerezani kona ya Sokoine Drive Kuna msururu wa traffic light...