sokoine

  1. J

    Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

    Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa. Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
  2. PhD Scholarship Opportuinity at Sokoine University of Agriculture 2019/ 2020

    College of Agriculture Department of Crop Science and Horticulture The project on “Agroecology methodology on vegetable crops” invites qualified Tanzanians to apply for a four years PhD scholarship at Sokoine University of Agriculture, Morogoro, Tanzania, starting early 2020. This project...
  3. JF Exclusive: Video/Audio ya Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine (1978)

    Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashirikishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu aliniuliza chemba kuwa angependa kumuona na kumsikia Sokoine) badala ya kusoma tu habari zake. Hii ni...
  4. Mfumo wa ulipaji ada pale Sokoine University (SUA)

    Wakuu ningependa kufahamu kama unatumia Control Number au Account Number ya chuo kukamilisha hili jambo.
  5. Edward Sokoine na Sheria ya Nguvu Kazi

    Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…