Njaa ilipozidi huko Gombe, wazee wakakaa kikao ili kupata ufumbuzi. Baada ya majadiliano ya muda mrefu, wakakubaliana watafute sokwe mrembo. Wamkate mkia na kumremba na kisha wamuoze kwa binadamu. Walijua kuwa binti yao huyo atawapa access ya kula mahindi kwenye shamba la binadamu kirahisi...