Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani.
Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera.
Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti.
CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360...