solar power

  1. geofreyngaga

    Solar power system KUUBWAA inauzwa

    Habari wana JF Solar power system yenye uwezo wa kuwasha nyumba nzima inauzwa TShs7.5M. Maongezi yapo Specifications 5kw inverter, 10kw battery and 2,000watts solar panel zenye ukubwa sawa na ceiling board yaan 1.2m X 2.4m Ni mpya kabisa kutoka China bado kwny box kama inavyoonekana. Ipo Tabata...
  2. Clark boots

    Nahitaji Mtambo wa Solar Power used

    Kwa wale walio karibu na Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari. Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo. Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane. Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:- Battery N70 & Solar Panel Watt100...
  3. A

    UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

    Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
  4. Sijali

    Why Tanzania can't have 12 solar power farms?

    Solar technologies convert sunlight into electrical energy either through photovoltaic (PV) panels or through mirrors that concentrate solar radiation. This energy can be used to generate electricity or be stored in batteries or thermal storage. Many countries in the world have adopted the...
  5. M

    Ninaanza kutumia solar badala ya umeme nyumbani

    Salamu Wakuu, Je, ninahitaji solar power yenye ukubwa gani inawasha Tv, kingamuzi, pasi, fridge na taa 5? Nimechoka luku. Naomba kufahamishwa tafadhali
  6. M

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
Back
Top Bottom