Habari wana JF
Solar power system yenye uwezo wa kuwasha nyumba nzima inauzwa TShs7.5M. Maongezi yapo
Specifications 5kw inverter, 10kw battery and 2,000watts solar panel zenye ukubwa sawa na ceiling board yaan 1.2m X 2.4m
Ni mpya kabisa kutoka China bado kwny box kama inavyoonekana.
Ipo Tabata...