Jina Kamili: Solomoni Sauli Mwalabhila
Kuzaliwa: August 01, 1978
Mahali: Mbeya
Elimu
Elimu ya Msingi: Shule ya Msingi Chunya kati(1988-1995)
Kazi
Alijiajiri kuanzia mwaka 1997, alianza kujishughulisha na biashara ya madini na uchimbaji na mabasi makubwa yaendayo mikoani.
Familia
Alifanikiwa...
Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila imesema kumpoteza mpendwa wao huenda baadhi ya miradi ikayumba hususan ya mabasi huku ikisisitiza imejipanga kusimamia vyema migodi ya dhahabu ili kuwasaidia watoto wake.
Mwalabhila maarufu kwa jina la Sauli...
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema Mwalabhila amefariki leo baada ya gari lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.